Wanakuja mkuu usisahau mrejeshoMasister duuu zangu aisee mimi nimetoka manyara mererani nimeuza vyangu nimepata pesa ila sina demu wa kula nae maisha kwa iyo kama kuna msichana yuko tayar kula vyangu nami nile vyake aje pm aisee sichagui umri,rangi,kabila ila weusi watapewa kipaumbele
Sijui hili litoa mada limeshiba maharage ya wapi