Mademu wa disco/club

Mademu wa disco/club

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wakuu hv inakuwaje ukienda club kupata demu rahisi sana. Nimeshuhudia club nyingi nilizoenda ukigusa tu tayari. Hawa watoto wa kike kama wamechanjiwa...
 
Club Madem wanaenda Special kwa ajili ya kutongozwa ila huku mtaani kuna shida sababu mtu yupo na mambo yake lakini tongozo linamuangukia kwa bahati mbaya
 
Club Madem wanaenda Special kwa ajili ya kutongozwa ila huku mtaani kuna shida sababu mtu yupo na mambo yake lakini tongozo linamuangukia kwa bahati mbaya
Hahah you make my day niga
 
Ndo sawa na kuulizia kwanini alizeti bei nafuu Singida..
Yaani dem aende club awe mgumu kutoa, amefata nini sasa huko.

Kwenda club hakuhusiani na ugumu ama urahisi wa msichana

Ni starehe kama starehe zingine
 
Kwenda club hakuhusiani na ugumu ama urahisi wa msichana

Ni starehe kama starehe zingine
Mama bado utetezi wako ni mdogo, OK, let's assume kuwa wanaokwenda kule ni just 1% ndio hawana wazo la kupigwa mkia.
 
Kwenda club hakuhusiani na ugumu ama urahisi wa msichana

Ni starehe kama starehe zingine
"ngwea" Kama club mi naenda kila week,hainamana nafata tuu muziki
(Wakazi gani) binam fa
 
Back
Top Bottom