Mademu wa Jf Ndio hao hao wa mtaani

Mademu wa Jf Ndio hao hao wa mtaani

And vice versa!! Sio KE tu hata nyie ME

Na wenye kuringa waacheni waringe kwa raha zao. Siku mkijua kiduku lilo ni gate man wa crdb Bank msishtuke coz hapa ni mtandaoni, waacheni watu wajinafasi na kufurahisha nafsi zao vile wanaweza.

Kuna ID nitazizamia PM siku sio nyingi, nilikuwa nahisi ni wababa kumbe vichaliii tu vya size 😂😂🏃🏃🏃🏃
Duh
 
Hahaha! Mkuu umenifurahisha san.

Kiduku Lilo akiona hapa lazima aanzishe uzi. Utasikia natokwa na machozi ya huruma.
Natumia GMC sijui Shangingi 22, Sijui utasikia alienda NASA kufanya Interview.

Depal jiandae kupewa milion 5 Ya Bando
Samahani best
Naomba nitumie link ya Uzi wowote wa Kidukulilo niusome
Mana nashindwa kuupata ili nami nipate madini ya anavyowakimbiza huku Na Mambo yake ya Uhaya( majisifu ya kupitiliza)
Thanks
Nasikia tu toka kwa comments but sijacome across Na threads zake
 
Ngoja nikufanyie manuva
 
Hahahaaa eti wote wana hela...ok ngoja nianze kumeet nao ninaowasilianaga nao kwa ID ileeee nicomfirm, ni kwa ajili iyo tuuu mana sidhani kama kuna mwenye maajabu tukafika deep.
 
Back
Top Bottom