Mademu wa Jf Ndio hao hao wa mtaani

Duh
 
Hahaha! Mkuu umenifurahisha san.

Kiduku Lilo akiona hapa lazima aanzishe uzi. Utasikia natokwa na machozi ya huruma.
Natumia GMC sijui Shangingi 22, Sijui utasikia alienda NASA kufanya Interview.

Depal jiandae kupewa milion 5 Ya Bando
Samahani best
Naomba nitumie link ya Uzi wowote wa Kidukulilo niusome
Mana nashindwa kuupata ili nami nipate madini ya anavyowakimbiza huku Na Mambo yake ya Uhaya( majisifu ya kupitiliza)
Thanks
Nasikia tu toka kwa comments but sijacome across Na threads zake
 


Ngoja nikufanyie manuva
 
Hahahaaa eti wote wana hela...ok ngoja nianze kumeet nao ninaowasilianaga nao kwa ID ileeee nicomfirm, ni kwa ajili iyo tuuu mana sidhani kama kuna mwenye maajabu tukafika deep.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…