And vice versa!! Sio KE tu hata nyie ME
Na wenye kuringa waacheni waringe kwa raha zao. Siku mkijua kiduku lilo ni gate man wa crdb Bank msishtuke coz hapa ni mtandaoni, waacheni watu wajinafasi na kufurahisha nafsi zao vile wanaweza.
Kuna ID nitazizamia PM siku sio nyingi, nilikuwa nahisi ni wababa kumbe vichaliii tu vya size ππππππ
Ndiyo maana napenda mitongozo ya live tu ili huo u-classic wao niuone.Mabaharia wenzangu acheni kuogopa kuwatongoza mademu wa Jf Kwa sababu mademu wa humu ni hao hao wa mtaani tunaoshinda nao, cheka nao ana ata kukaa nao kitaa kimoja,
Msiogope kuzama Pm kwao kwa kuwaona labda ni Wanawake wa class flani hivi sio kweli,
Hao ni hao hao wakina Amberruty, Mwajuma wa kwamtogole, jane, lightness, Anna, Amina, Rachel, wale wanaokudanga, beki tatu wa hapo home kwako NK.
Mademu wa humu hawana Dunia yao Mabaharia tujitahidi kuwazamia PM na kuwang'oa ata kinguvu,
Wanakuwaga tu na Maneno classic lakini wote sio classic kama tunavyowachukulia,
Cc Zero IQ
inasikitisha kabisa....Sana wapo
SawasawaMabaharia wenzangu acheni kuogopa kuwatongoza mademu wa Jf Kwa sababu mademu wa humu ni hao hao wa mtaani tunaoshinda nao, cheka nao ana ata kukaa nao kitaa kimoja,