u mama huruma uko pote wala sio kwa wahaya tu wapare je? Wanyakyusa je? And the list goes on... Sie wasomi bwana hyo ilikuwa zamani kama huna uwezo wa kumpata mdada wa kihaya usimwage pumba zako hapa
ni kweli, tulisahau kabila moja, wapare, hawana hata uchoyo jamani. Kuna siku moja nilikuwa nafanya kazi mkoa mmoja hivi, sasa kipindi hicho nilikuwa sijaoa bado. nikapanga nyumba moja na mchaga mmoja ivi aliyekuwa amemuoa mpare, walikuwa na watoto wawili. yule mpare alikuwa mfupi, mweusi na alikuwa na kiuno cha mviringo sana, na alikuwa ni mzuri actually. bwanake alikuwa anafanya kazi za kusafiri siku zingine. sasa ilitokea siku moja akaniomba anioshee vyombo, bwanake alikuwa katili sana, nikaogopa, nikakataa. akawa anataka sana mtoto wake awe karibu na mimi(mtoto wa miaka mitatu), hadi mtoto wake akanizoea mimi kama mjomba. siku zingine anapenda kuja kukaa na mimi. ikatokea siku moja nimetoka kazini nimechoka, nikafungua mlango nikaingia ndani, nikashangaa mtu anakuja ameweka ubwabwa,na ndizi uganda za nyama, na nyama kwenye vyombo ameviunganisha...akanikwekea mlangoni afu akakimbia haraka ili asionekane na mtu.
da, njaa iliuma sana, nikala vyote...hahaha. sasa siku moja wao wakawa hawajui kama mimi siku iyo nilikuwa sijisikii vizuri nimelala ndani, wakajua sipo, wakawa wanaongea, yule mama akawa anawagombeza wenzake kwamba ati mimi ni boyfriend wake,(wapangaji wenzake), niliogopa kwasababu bwanake alikuwa na sura mbaya kama chinjachinja. ikatokea akaja shemeji yake, akaniganda, mimi nikamwomba Mungu nikashinda jaribu. yeye akawa anakuja kukaa na kupiga story na mimi, akiona mida ya bwanake kurudi, anatambaa. akisikia geti tu linataka kufunguliwa hata kama si la bwanake, alikuwa anakimbia akifikiri ni bwanake...mi nikajizuia na kumwambia asinitie kwenye hatari.
sasa, ilifikia kipindi mimi naoa kwasababu na mama watoto wangu nilimpatia kulekule, ...pale kwenye nyumba kulikuwa na wamama wa nyumbani wanne....Yule mama alikuja juuu, alienda kumtukana mchumbangu matusi ya nguoni hadi kushikana, kina mamamkwe hawakunielewa kabisa hadi leo wanajua nilikuwa natembea naye. akaanza kunitukana mimi mtaani na kunisingizia mambo mengi. na wale wanawake wengine, kumbe wote walikuwa wananimendea niwe nawapoza mabwana zao wakiondoka....siku moja ilitokea tafrani walishikana pale wote wanne wakafanya kama uwanja wa ngumi..zilipigwa...ikafikia kipindi nikaona anataka kwenda kwa mganga amzuri mchumbangu...mtaa mzima ukawa unajua yote, LAKINI BWANAKE HAAMBIWI NA HAJUI KITU.
nikaogopa nikaona bwanake ambaye alikuwa ananiheshimu sana akija kujua badaye, atajua kuwa mimi kweli nilikuwa namfanya mkewe. nikachukua jukumu la kumwambia bwanake wakati na mkewe yuko pale. palikuwa hapatoshi, lakini ilinibidi kwasababu yule mama alikuwa anaendelea kunipigia simu na kunibip wakati wote. alifungiwa safari aende kupumzika kwao SAME, kwani yeye alikuwa mwislam (mama nasra)..hadi leo imekuwa respect. WAPARE WANATISHA JAMANI, na ukifanya mchezo wanakuwekea na dawa kwenye chakula.