Thank you, asante, Wakola najivunia Uhaya wangu :smile-big::smile-big::smile-big[
Tatizo lenu Wahaya, kugawa siyo issue na haina kificho. Kama kaolewa na kabila jingine lazima amgongeshee wa kwao. Utaambiwa ni mjomba binamu kumbe hamna kitu. Kama alivyosema hapo juu mchangiaji, ukisafiri labda usafiri naye, mwezi, wiki mbili kwao wengi wao ni kazi kuvumilia lazima tu atafute. Nimekaa nao nawajuwa. Dawa za kuweka huko chini ndo usiseme ili uendelee kukamatika. Siyo za kichina bali za kwao za kienyeji, hata kama ana watoto 4, ataweka huko ili kuipunguza size aonekane bikra kumbe bwawa.