Mwa chando
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 359
- 122
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaa!!!! Umetisha mkuu
Sasa wewe ukisikia wanasema hapendwi mtu unafikiri wanamaanisha nini?Mademu wa leo kama
upo KIBAHA ww upo TANDIKA,
Utäckia ona thatha mapenz gan yenyewe
haya c bora tuachane,
lakini kama upo U.S.A
utackia baby mm nakupenda ntavumilia mbaka urudi tuowane!