Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Hivi adhabu ya AfroDenzi inaisha lini wandugu??
mwezi wa tano (MAY).....!!
umem-miss kama mimi na TF eeeh?vumilia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi adhabu ya AfroDenzi inaisha lini wandugu??
Hyo nyekundu ni sababu mojawapo iliyonifanya nianzishe hii sredi. Endelea kutoa mauzoefu zaidi.
Usiogope Lizzy, hapo li inasimama kuwakilisha kuwa ni toto la kagame yaani kwa maneno mengine toto zuriiiiiiiiii hahaha............Ukifuatilia posti niliyojibu utaelewa fresh.
Pamoja sana.
Babu yako hatusiwi kirahisi namna hyo.........Kaka mkubwa akisoma unampiga mkwala mdogo wake patachimbika shauri yako.sikuwezi....kwaheri!!!
kama umemtusi babu nakuja kukuharibu hiyo nanii yako!!!:A S 13:
Babu yako hatusiwi kirahisi namna hyo.........Kaka mkubwa akisoma unampiga mkwala mdogo wake patachimbika shauri yako.
Halafu wewe......................:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::msela::msela::msela:Tumia lugha nzuri,sawa dogo??? nitarudi!:wink2::hand:
Hii hapaMi ndo nshamaliza hivyo!Hope nimepata Thanks yangu!
Nitamwambia mke mwenzio anakusalimia lolhaya bana....nasubiri tu.....msalimie mtoto wa kagame.....:rain:
Mjumbe akajibu hiviKwa kifupi naomba kufahamishwa.
Hapa magriit thinkaz wanajadili nini hasa jumatatu hii?:rain:
Kaka mdogo kumbe naye alikuwepochochote kile unachokifahamu kuhusu madem wa kinyarwanda.....discussd
Mjukuu advocate wa babu akaibuka kutetea maslahi ya babu yakeBig braza una mning'inio ziada??!!! Hapa tunajadili watoto wa kagame leo
Kaka mdogo akasawazisha mambo nje ya mahakama.sikuwezi....kwaheri!!!
kama umemtusi babu nakuja kukuharibu hiyo nanii yako!!!:A S 13:
Babu yako hatusiwi kirahisi namna hyo.........Kaka mkubwa akisoma unampiga mkwala mdogo wake patachimbika shauri yako.
Nitamwambia mke mwenzio anakusalimia lol
Punguzen jazba cc ste ni ndugu mojaAchana na huyo mpemba, anajifanya anajua sana, aliaga hapa akaenda mombasa, yaliyo mkuta uko ndiyo yamemfanya arudi tena JF.
:bounce::bounce: :A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41: :first:Babu akauliza hivi:
Mjumbe akajibu hivi
Kaka mdogo kumbe naye alikuwepo
Mjukuu advocate wa babu akaibuka kutetea maslahi ya babu yake
Kaka mdogo akasawazisha mambo nje ya mahakama.
Case closed....babu anarudi kitandni kutafakari uumbaji wa Mungu katika jinsia za kike za watoto wa Kigali
aaaah kwako tena, hiyo haina tabu..........wewe si ndo mwenyewe bana, hawa wengine wapo wapo tu........Ila we ndio kila kitu. Yaani nitazunguka weeeee lakini mwisho wa siku narudi kwako kipipi moyo wangu.mwambie,wale hawanaga shida na hilo.....l.o.l
ni hapo umpoteze,utakuja tukana screen hapa....l.o.l:wink2:
aaaah kwako tena, hiyo haina tabu..........wewe si ndo mwenyewe bana, hawa wengine wapo wapo tu........Ila we ndio kila kitu. Yaani nitazunguka weeeee lakini mwisho wa siku narudi kwako kipipi moyo wangu.
Hapo ndio napokupendea wangu..........hebu chukua hii kwanza :hug:kipipi moyo kwa mikono miwili atakupokea tu....hana neno,alishakukubali ulivyo na atazidi kukubali.....l.o.l:decision:
Unatafuta kabila au mwanamke??? Mie huwa sipendi mtu anayezungumzia ukabila, udini, uraia kwaheri