Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Alooooo mbona mafundishoAlaa tushaanza mafundisho wenzio
Vipi wamekudanganya ukabaki kujichukulia sheria mkononi?Kumbe Kuna wenzetu mna mademuππ€.
demu wa kishua ndio yukoje?Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.
Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.
Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.
Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.
Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.
JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Ile ile ya mwaka peach πAlooooo mbona mafundisho
ππ
Mie nasubiri rangi ya sare
Nipe #CODE iyo usifaidi mwenyew tunazitaka izo tabuπDemu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.
Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.
Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.
Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.
Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.
JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
TamuuuIle ile ya mwaka peach π
AngalizoHakuna tuzo ya mtesekaji bora
Kama unampenda mnunulie machine za kurahisisha kazi au uwe unamsaidia kazi nyingine.
Kula viporo sio ujanja wala ushamba...pikeni chakula cha kutosha kwa wakati huo kiishe.
Kama umemchoka waachie Wana usimtafutie mwenzio sababu
Waje na pledge, sio ushauri. Tushaamua jambo letu, hatuhitaji ushauri π
Umenicheka kwanza, then pole imekuja baadae πPole kwakweli πππ
Mpole, mkarimu, sina mambo mengi hofu ya Mungu ipo nakadhalika, nakadhalika π π πKuna file lolote ambalo silijui hebu nipe dadaangu
Subiri nipewe file kwanza usijinadiMpole, mkarimu, sina mambo mengi hofu ya Mungu ipo nakadhalika, nakadhalika π π π
Ilo ndio file langu.
Nilifurahi ,sio kukuchekaUmenicheka kwanza, then pole imekuja baadae π
Akae kwa kutulia kwanzaπSubiri nipewe file kwanza usijinadi