Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Alooooo mbona mafundishoAlaa tushaanza mafundisho wenzio
😄😄
Mie nasubiri rangi ya sare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alooooo mbona mafundishoAlaa tushaanza mafundisho wenzio
Vipi wamekudanganya ukabaki kujichukulia sheria mkononi?Kumbe Kuna wenzetu mna mademu🙄🤒.
demu wa kishua ndio yukoje?Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.
Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.
Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.
Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.
Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.
JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Ile ile ya mwaka peach 🍑Alooooo mbona mafundisho
😄😄
Mie nasubiri rangi ya sare
Nipe #CODE iyo usifaidi mwenyew tunazitaka izo tabu😂Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.
Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.
Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.
Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.
Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.
JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
TamuuuIle ile ya mwaka peach 🍑
AngalizoHakuna tuzo ya mtesekaji bora
Kama unampenda mnunulie machine za kurahisisha kazi au uwe unamsaidia kazi nyingine.
Kula viporo sio ujanja wala ushamba...pikeni chakula cha kutosha kwa wakati huo kiishe.
Kama umemchoka waachie Wana usimtafutie mwenzio sababu
Waje na pledge, sio ushauri. Tushaamua jambo letu, hatuhitaji ushauri 😅
Umenicheka kwanza, then pole imekuja baadae 😅Pole kwakweli 😀😄😄
Mpole, mkarimu, sina mambo mengi hofu ya Mungu ipo nakadhalika, nakadhalika 😅😅😅Kuna file lolote ambalo silijui hebu nipe dadaangu
Subiri nipewe file kwanza usijinadiMpole, mkarimu, sina mambo mengi hofu ya Mungu ipo nakadhalika, nakadhalika 😅😅😅
Ilo ndio file langu.
Nilifurahi ,sio kukuchekaUmenicheka kwanza, then pole imekuja baadae 😅
Akae kwa kutulia kwanza😅Subiri nipewe file kwanza usijinadi