Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mbona unajinadiπMpole, mkarimu, sina mambo mengi hofu ya Mungu ipo nakadhalika, nakadhalika π π π
Ilo ndio file langu.
Hapo sawaNilifurahi ,sio kukucheka
Tatizo hamkawii kuchomoa betri nyieMbona unajinadiπ
Kama kwenye panel yupo Joannah, basi nitascore A+..... Hawezi kuniangusha mdogo wakeSubiri nipewe file kwanza usijinadi
Nimefika chakubimbi mwandamizi π€£π€£π€£
Vijora hapana vya jikoni hivyo tutaonjea kuku, ukumbini tutaangalia resi nzuri ya kushtua upande wa kiumeni π
Kumbe Kuna sheria ya mkononi tena π€ππ€Vipi wamekudanganya ukabaki kujichukulia sheria mkononi?
Hiyo imenipita ndio naamka muda huu binti Sayuni π€£π€£uwahi sasa mapema tu 11 jioni kamili ibada ya maombi na maombezi ya kukata minyororo inaanza maramoja, ikitanguliwa na neno la ushindi....
Vijora vya fagia uwanjaVijora hapana vya jikoni hivyo tutaonjea kuku, ukumbini tutaangalia resi nzuri ya kushtua upande wa kiumeni π
Sidanganyiki ngβo π€£π€£π€£Hutumikishwi, mnatumikishana,olewa tu mkuu uongeze thamani yako,mwanamke hata awe na nini asipoolewa value yake ina-decrease.
Na humu tunaingia tukiwa akili zimeyumba, ukija nazo timamu utateseka sanaJf Raha tupu umu story tu kula kwenuππππ
uwe unajihimu bana,Hiyo imenipita ndio naamka muda huu binti Sayuni π€£π€£
πππππSasa apa wataka kusemaje labdaNa humu tunaingia tukiwa akili zimeyumba, ukija nazo timamu utateseka sana
Kwa kweli hiyo kazi siwezi.!! Niamke asubuhi mi jogoo?! π€£uwe unajihimu bana,
calvary ni muhimu sana kuwahi aise
π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ Kikao cha kwanza tunakaa lini..?!Bwana bwana weeee kanga moko laki si pesa
jogoo?Kwa kweli hiyo kazi siwezi.!! Niamke asubuhi mi jogoo?! π€£
Si kuku πjogoo?
unamaanisha nini?π€£