Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mbona unajinadi😅Mpole, mkarimu, sina mambo mengi hofu ya Mungu ipo nakadhalika, nakadhalika 😅😅😅
Ilo ndio file langu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unajinadi😅Mpole, mkarimu, sina mambo mengi hofu ya Mungu ipo nakadhalika, nakadhalika 😅😅😅
Ilo ndio file langu.
Hapo sawaNilifurahi ,sio kukucheka
Tatizo hamkawii kuchomoa betri nyieMbona unajinadi😅
Kama kwenye panel yupo Joannah, basi nitascore A+..... Hawezi kuniangusha mdogo wakeSubiri nipewe file kwanza usijinadi
Nimefika chakubimbi mwandamizi 🤣🤣🤣
Vijora hapana vya jikoni hivyo tutaonjea kuku, ukumbini tutaangalia resi nzuri ya kushtua upande wa kiumeni 😜
Kumbe Kuna sheria ya mkononi tena 🤔🙄🤒Vipi wamekudanganya ukabaki kujichukulia sheria mkononi?
Hiyo imenipita ndio naamka muda huu binti Sayuni 🤣🤣uwahi sasa mapema tu 11 jioni kamili ibada ya maombi na maombezi ya kukata minyororo inaanza maramoja, ikitanguliwa na neno la ushindi....
Vijora vya fagia uwanjaVijora hapana vya jikoni hivyo tutaonjea kuku, ukumbini tutaangalia resi nzuri ya kushtua upande wa kiumeni 😜
Sidanganyiki ng’o 🤣🤣🤣Hutumikishwi, mnatumikishana,olewa tu mkuu uongeze thamani yako,mwanamke hata awe na nini asipoolewa value yake ina-decrease.
Na humu tunaingia tukiwa akili zimeyumba, ukija nazo timamu utateseka sanaJf Raha tupu umu story tu kula kwenu😂😂😂😂
uwe unajihimu bana,Hiyo imenipita ndio naamka muda huu binti Sayuni 🤣🤣
😂😂😂😂😂Sasa apa wataka kusemaje labdaNa humu tunaingia tukiwa akili zimeyumba, ukija nazo timamu utateseka sana
Kwa kweli hiyo kazi siwezi.!! Niamke asubuhi mi jogoo?! 🤣uwe unajihimu bana,
calvary ni muhimu sana kuwahi aise
🤸♀️🤸♀️🤸♀️ Kikao cha kwanza tunakaa lini..?!Bwana bwana weeee kanga moko laki si pesa
jogoo?Kwa kweli hiyo kazi siwezi.!! Niamke asubuhi mi jogoo?! 🤣
Si kuku 😜jogoo?
unamaanisha nini?🤣