Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Mademu wa kishua wanafaa waolewe na maboy wa kishua au mwanaume ambaye tayari amejipata la sivyo akikutana na kambwela lazima moto uwake
 
Kama kweli wewe ni mtenda kazi katika shamba la bwana huwezi tikiswa na vijichangamoto kama hivi
aah yaaan hii mi napita nayo vizuri sana mwendo wa ngiri bila mbambamba yeyote aise....
Ile Neema iko ndani yangu ni nyingi lakini ni kubwa zaidi
 
Yes,hamna wakati unatakiwa kuomba mdogo wangu kama huu ,sisi familia yako Lamomy Tayana-wog tutaingia kwenye vita kuu si ya damu na nyama bali katika falme za Giza tukisaidiwa na nabii wa familia Tlaatlaah kuhakikisha shemeji Analyse hakimbii mpaka aoe
Nikimbie niende wapi Mimi, kwa Missy Gf ndio nishafika 😅😅
 
Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Bado hajadai ana pressure!
Bado hajadai kubeba ndoo ni shida...
Bado kwenye show kama gogo...
Bado atasisitiza awe na kijakazi akiolewa..
Safari za salooni, kitchen party, maandalizi ya harusi na kukesha kuangalia dramas tv ni kero!
Usithubutu...UTAJUTA dume...
 
🤣🤣hiyo sasa hiyo haiitwi fungu la10 ni tegemeza mama mchungaji hiyo ni sadaka ya kawaida,

Hata na hivo kazi ya kwanza muhimu sana ya mama mchungaji ukiachilia zile zingine za ndani,

ni kuhakikisha Apostle ana vaa vizur, anakula ipasavyo na wakati wote anapohitaji huduma ya mama mchungaji bas isichelewe...
Na Mungu akubariki sana
😂😂😂😂 Nishaanza kulewa mvinyo ebu niache nitapaliwa.!! Hizo huduma, ni huduma gani?
 
Back
Top Bottom