Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua wanafaa waolewe na maboy wa kishua au mwanaume ambaye tayari amejipata la sivyo akikutana na kambwela lazima moto uwake
 
Kama kweli wewe ni mtenda kazi katika shamba la bwana huwezi tikiswa na vijichangamoto kama hivi
aah yaaan hii mi napita nayo vizuri sana mwendo wa ngiri bila mbambamba yeyote aise....
Ile Neema iko ndani yangu ni nyingi lakini ni kubwa zaidi
 
Nikimbie niende wapi Mimi, kwa Missy Gf ndio nishafika πŸ˜…πŸ˜…
 
Bado hajadai ana pressure!
Bado hajadai kubeba ndoo ni shida...
Bado kwenye show kama gogo...
Bado atasisitiza awe na kijakazi akiolewa..
Safari za salooni, kitchen party, maandalizi ya harusi na kukesha kuangalia dramas tv ni kero!
Usithubutu...UTAJUTA dume...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nishaanza kulewa mvinyo ebu niache nitapaliwa.!! Hizo huduma, ni huduma gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…