Mademu wa kishua ni mzigo

Ukipeleka shamba, tunakuja kuvuna 😅
😂😂😂 Shemeji dada Joannah kasema unapenda mishangazi, vipi umeachana nayo?! Sisi wapole ila km hujamalizana nayo mishangazi yako iambie mapema ulikoingia siko watapigika watu humu 🤣🤣🤣🤣
 
Nimeokoka siku hizi.....sitaki Tena mashangazi 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…