Mademu wa kishua ni mzigo

Wee usinifanye sijui ulichomaanisha 🤣🤣🤣
hivi mama umemaliza lini mambo ya masomo?🤣

maana waliokua masomoni kipindi cha JK ni watu wa kipekee sana wanajua kila kitu na wana majibu ya kila swali au neno kwa maana zao....

mfano unaweza mwambia mtu fanya juu chini jpili uskose kanisani...tafsiri yake mbona utakimbia 🤣
 
Sidhani kama hiyo tabia inatokana na ushua. Mbona Missy Gf ni wakishua, lakini anapiga mzigo heavy kama mashine ya mjerumani
 
Nyie mna tafsiri za ki Jezebel tupu, tena kwa JK kulikuwa na misemo ya ajabu, “Ukitaka kula, sharti nawe uliwe” hapo ndio anamaanisha nini?!! 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…