Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Wee usinifanye sijui ulichomaanisha 🤣🤣🤣
hivi mama umemaliza lini mambo ya masomo?🤣

maana waliokua masomoni kipindi cha JK ni watu wa kipekee sana wanajua kila kitu na wana majibu ya kila swali au neno kwa maana zao....

mfano unaweza mwambia mtu fanya juu chini jpili uskose kanisani...tafsiri yake mbona utakimbia 🤣
 
Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Sidhani kama hiyo tabia inatokana na ushua. Mbona Missy Gf ni wakishua, lakini anapiga mzigo heavy kama mashine ya mjerumani
 
hivi mama umemaliza lini mambo ya masomo?🤣

maana waliokua masomoni kipindi cha JK ni watu wa kipekee sana wanajua kila kitu na wana majibu ya kila swali au neno kwa maana zao....

mfano unaweza mwambia mtu fanya juu chini jpili uskose kanisani...tafsiri yake mbona utakimbia 🤣
Nyie mna tafsiri za ki Jezebel tupu, tena kwa JK kulikuwa na misemo ya ajabu, ā€œUkitaka kula, sharti nawe uliweā€ hapo ndio anamaanisha nini?!! šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom