Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Yaani najitahidi kunfundisha Sema napenda kupika mwenyewe kama nikiwahi kurudi maskani tofauti na hapo inabidi Nile hukohuko
Anapiga kazi balaa kikubwa king'amuzi kiwepo na bundle lake kuchat lisiishe
Mi wangu zote anafanya vizuri sana, kifupi kazi za nyumbani sigusi.!! Na hivi nna wakaka wa dukani basi mpk mbwa wanawaangalia wao.!!?
Nikiolewa naenda nao wote kwa mume 🤣🤣🤣 nikiachika narudi nao kwangu sitaki hekaheka miyee
 
Eee ndio 🤣🤣🤣
Ila kuna maisha ukiyazoea kuolewa unaona jau ujue
unafanya vijana wasite kuingia kwenye ndoa kwa hofu,

hebu wape moyo na uhakika wa raha na faida za ndoa bas,

ili hatimae waingie kwenye utakatifu wa ndoa kwa kujiamini na wakaungane na Mungu katika kazi ya uumbaji...

Na Mungu atakubariki sana..
 
Back
Top Bottom