Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Basi me wakishua niliyezubaa 🤣
Wewe ni wale wakishua ambao wamelelewa vizuri. Ndio maana nikamwambia jamaa, shida sio kwamba huyo demu wake ni wakishua, bali shida ni malezi.

Yani mtu akikukuta unaendesha Toyota Fortuner Yako, hawezi amini kama huwa unapiga deki kwenye jumba lako na kufua majeans kibao ya Mr kabla hujaenda job 😅
 
Kwenye kupiga deko nimesoma kwa kasi. Baadae nimeelewa kumbe!🤣
 
Wewe ni wale wakishua ambao wamelelewa vizuri. Ndio maana nikamwambia jamaa, shida sio kwamba huyo demu wake ni wakishua, bali shida ni malezi.

Yani mtu akikukuta unaendesha Toyota Fortuner Yako, hawezi amini kama huwa unapiga deki kwenye jumba lako na kufua majeans kibao ya Mr kabla hujaenda job 😅
Mr who? Mr which? Jimbo halina mmiliki hili changamka 🤣🤣🤣🤣
Sema malezi ni kweli nimelelewa kijeshijeshi na maisha yakanipeleka puta lazima ninyooke
 
Kuna ID ilinifataga PM ikaniambia nikae mbali na wewe, eti yupo kwenye hatua za mwisho kukupatia. Sasa unaposema jimbo liko wazi unanchanganya 😅

Maisha yenyewe ni mpela mpela, ukilelewa kisoft soft lazima utage.
 
Back
Top Bottom