Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwakweli utakuwa umefanya jambo jema🤣Ngoja nikutafutie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli utakuwa umefanya jambo jema🤣Ngoja nikutafutie
Wee tena. Ushindwe wrwe tu🤣Kwakweli utakuwa umefanya jambo jema🤣
Mie natafuta kazi kukupikia tu haina shida kufua afue mwenyewe[emoji23][emoji23]Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.
Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.
Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.
Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.
Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.
JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Jamaa amenilisha tango pori 😅......Ngoja nifanye come back ya nguvuMaskini pole sana 🤣🤣🤣
Mtumishi mbona unanicheka badala ya kunipa pole? 😅🤣🤣🏃🏃
Nikifikiria kwangu nafanyiwa kila kitu afu niolewe li mtu likanitumikishe.!!!
Leta ushahidi wako hapa.Wengi wao ni seedco a.k.a mbegu fupi.
Alaf wakichukia wanajitundika chap. Atawezana?
Kazi Ya demu ni kudinywa tu hizoo nyingine ni extra alisikika mzee mmoja akiongea😂Edo kissy , Fabian Vitus njooni apa nyie najua mna_mademu wa kishua upepo ukoje uko??
Oyoooo wandewa njoeni harusi tunayo Joannah Lamomy Tayana-wog mkachukue vijora basiJamaa amenilisha tango pori 😅......Ngoja nifanye come back ya nguvu
uwahi sasa mapema tu 11 jioni kamili ibada ya maombi na maombezi ya kukata minyororo inaanza maramoja, ikitanguliwa na neno la ushindi....🤣🤣🤣 Kesho nakuja church nikusaidie kuhesabu sadaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wao ni seedco a.k.a mbegu fupi.
Alaf wakichukia wanajitundika chap. Atawezana?
Sio vijora tu, waseme pia mchango wao ni shilling ngapi? 😅😅😅
Nyie machakubimbi njoeni Lamomy Joannah Tayana-wog toeni pledge zenu shemeji mmepataSio vijora tu, waseme pia mchango wao ni shilling ngapi? 😅😅😅
Heeeeee
Pole kwakweli 😀😄😄Mtumishi mbona unanicheka badala ya kunipa pole? 😅
Kumekucha kumbe mambo ni fire😀
Alaa tushaanza mafundisho wenzioKumekucha kumbe mambo ni fire😀