ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Jana tulibishana sana na washikaji zangu wanne kuhusu hii ishu watatu walikuwa upande wa Russia, na si watu wa kawaida wameishi na kusafiri katika nchi nyingi tu ulaya,Marekani,thailand ,mongolia n.k. Hoja yao ilikuwa kwamba Russia ina asilimia kubwa ya wanawake wazuri,matwiga,wako soft.
Niliwabishia sana japo mimi siwajui sna wa brazili ila nikawa naona kamani sawasawa na wa colombia maana wacolombia nawakubali ni warembo.. nachojua brazil ina mchanganyiko mkubwa wa asili mbalimbali za watu, jambo linalozalisha sura na maumbo yenye utofauti mkubwa japo pia ndo kiwanda cha ma BBL Matako fake ya upasuaji..we unaonaje wa russia vs brazil