Mademu wa siku hizi ni noma!!!

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Tafakari hii !!
Demu: baby nikwambie kitu...

Boy: Ee kitu gani hicho baby?

Demu: Baby nina njaa mwenzako yan!!

Boy: sasa nifanye darling ?

Demu: Baby fanya mchakato wa hela ya chakula!!

Boy: mh kwani una chenji ya shilingi elfu kumi hapo??

Demu: Hiyo tu ipo baby!!

Boy: kumbe nunulia hiyo hiyo acha kunigeuza kitega uchumi..

Demu: msenge wewe na kublock hadi sanduku la posta!!!

Wanaume wa jf tuwe kama huyu jamaa.
I' m done.
 
Hahahaa!

Kadri unavyohonga ndiyo unavyojipigia mizigo ya kutosha

Honga kadri ya uwezo wako hakuna mteremko duniani

Tena hawa mademu nafikiri waongeze dau ,wasijishushe hadhi Kwa buku

Pigeni mizinga ya maaana mpaka wanaume waombe poo
Inaonekana wewe mizinga ushakuwa sugu, bgoja wa kupige makombora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…