Mademu wananikimbia kisa ubahili wangu.

Kwa hiyo atakuwa anawapata bure bure wapi huko dunia ya sasa?
 
Wanahitaji:- 1. Pesa ya uhakika 2. Sex ya kuridhisha
 
UMESOMEKA MKUU 👊👊
 
Ila ndugu zangu kusema kweli sasa hivi tutakua tunaogopa kutongoza. Wiki iliyopita nimetongoza pisi moja hivi anasema yuko moro mimi niko iringa,namwambia afanye mpango wa kuja maana iringa ni kwao pia anasema nitume nauli. Nimechoka
 
Ambae huhongi utakua na gholofa lako saaafi.
Hata kama sina ghorofa ila nakuwa na utulivu wa maisha,hela yangu naiona na naifanyia kile ninachotamani tofauti na anayehonga honga hovyo.

Hivi mkuu ulishawahi kupigwa asubuhi asubuhi na ile “Naomba nipe 80K nikachukue simu yangu kwa fundi”,na juzi yake mama yako sijui baba yako alikuomba elf20 tu ya Kg 2 za sukari ukamwambia “mama huku hali mbaya sana nitakutumia mwezi ujao nikipata” ila kwa huyu haraka sana utamtumia shida usiweke ya kutolea lazima akuulize mbona hujaweka ya kutolea?asishukuru bado anakulaumu but i swear mama yako ungemtumia hata 10K na usiweke ya kutolea bado angeku-beep akushukuru na akubariki kwa kile kidogo ulichompa.

Ipo siku utanielewa,funguo za mafanikio yako unazo wewe ila baada ya Mungu wapo wazazi wako watakaokuombea ili ukifikie kitasa sahihi cha mafanikio yako na ukiwatupa nao wanakutupa.mimi ni shuhuda,nilipoanza kujizoesha kumpa mama chochote nilicho nacho hata kama nilikuwa nakiona kidogo ndivyo nilivyozidi kuchanua,pale juu niliandika nikiwa najua.huwezi ukampa mtu hela tena bure hajafanya kazi yoyote halafu ashindwe kukushukuru aanze tena kukulaumu hapo hakuna baraka huyo ni jini mnyonyaji stuka tafuta mke owa hela zako wazile na wazifurahie wale wanaokuombea heri.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Tuko wengi broo. Na hata mkinisaliti nitabaki pekee kwenye hiki chama(cha wanaume wasiohonga). Mana kuna kipindi nilijifanya pochi nene nikaja gundua kama pesa zote nilizowahi kuhonga ningekuwa nazijengea nyumba ningekuwa npo napauwa afu zile za vocha ningefanyia finishing .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hatari
Mimi binafsi kuna demu nilikuwa nampenda Sana nakumbuka kuna siku namwambia nampenda akanijibu ana shida na laki 5 ha haha
Kuna mwingine juzi kanipiga mzinga laki 1
Mwingine kanipiga mzinga 50,000/-
Kama ningewapa hesabu ingekuwa hivi 500,000 + 100,000+50,000= 650,000/-zaidi ya mifuko 40 ya saruji hiyo
 
Bro,umeongea jambo la maana sana lkn kabla ya kuoa unakidhi vip lile hitaji muhimu?
 
Mwamba huu ni wizi wa hadharani. Wanawake watuonee huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…