swan
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 132
- 356
Kwa hiyo atakuwa anawapata bure bure wapi huko dunia ya sasa?
20K cement mfuko mmoja na site umeshafika na change inabaki nauli ya Bodaboda kurudi stand kutoka unakopanga tofali zako....
Kijana gawana na wazazi wako kile unachokipata kadiri wanavyosema asante na wewe ndivyo unavyozidi kuchanua,hii theory wengi hawapendi kuitumia wanajikuta wanajikunja na kazi nyingi kipato hakionekani kwa sababu wanatapanya hovyo na viumbe visivyokuwa na shukrani
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk