Mademu wanaokuja juu JamiiForums

Demu maana yake tambara la kudekia..,

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana uko sawa kwamba demu ni tambala bovu linaloweza kutumika kudekia.
Napenda sana maana halisi za maneno. Umenirudisha katika kamusi yangu.


Kamusi ya Kiswahili Sanifu. TUKI. Oxford University Press. Toleo la 3. Chapo la 2014.

Ukurasa wa 86.

Demu.

1. Nguo mbovu iliyopasuka.

2.Kitambaa ambacho zamani kilitumiwa na wanawake kuvaa kiunoni au kufunika maziwa wakati wa kulima.
 
Ww dume Zima unaenda chuo kusoma kiswahili pumbav

Wa kishua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…