Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
- Thread starter
- #81
Acha shoboKikikikiki
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Wa kishua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha shoboKikikikiki
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
acha chai, demu tumetohoa kutoka kwenye english word "dame" ambayo ni binti/msichana/mwanamke
Miss you more madame jamanii... Upo kweeeli
CajojoMakubwaa hzi mada za kuwamention mademu wa humu ndo kiki ama?1°111
Nipo mamy naona tumepaishwa[emoji23][emoji23][emoji23]Miss you more madame jamanii... Upo kweeeli
HahahaNipo mamy naona tumepaishwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Madame S
[emoji13] [emoji91] [emoji90] Dogo huyu ni mrendaa wa ZenjiHivi ni Jamii Forum au ni JamiiForums?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Nashangaa
Baby Sinta miss you
Ohhh Sarah k yona love you moreMiss you more madame jamanii... Upo kweeeli
Duuuu watanielewa tu sjawah toswa na demWakishua waimbishie baba kama hawaksomi vilee
Sinta tell me babyNipo mamy naona tumepaishwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Madame S
We paka kaa mbali namm[emoji13] [emoji91] [emoji90] Dogo huyu ni mrendaa wa Zenji
Ww dume Zima unaenda chuo kusoma kiswahili pumbavInaonekana uko sawa kwamba demu ni tambala bovu linaloweza kutumika kudekia.
Napenda sana maana halisi za maneno. Umenirudisha katika kamusi yangu.
Kamusi ya Kiswahili Sanifu. TUKI. Oxford University Press. Toleo la 3. Chapo la 2014.
Ukurasa wa 86.
Demu.
1. Nguo mbovu iliyopasuka.
2.Kitambaa ambacho zamani kilitumiwa na wanawake kuvaa kiunoni au kufunika maziwa wakati wa kulima.