kwani wewe hao mademu unaowazungumzia unataka nini kwao? si huduma? kwanini unataka bure, huduma ya chakula ununue, ya mavazi ununue, kwanini ya ngono au kampani usinunue?
bei inategemea quality, kama unaenda kununua huduma mitaa inayolipa kodi kubwa, utapandishiwa bei vile vile, kama bei ya soda, japo kiwandani bei ni moja, kuna sehemu ukienda unakunywa umesimama, sehemu nyingine unapewa glasi inayongaa, kiti, tishu, straw, bili kwenye folder nk. kimsingi soda ni ile ile.
KAma huridhiki na vikolezeo vinavyoambatana na huduma unayotaka, basi hamia manzese, unaweza hata kushinda soda ya bure.
ila tu ujue kumaintain usmart kila siku si bei rahisi sana, lazima musaidiane watu kama wewe kadhaa.
nywele tu kwa mwezi ni zaidi ya laki mbili, ngozi, perfume, nguo, accessories, viatu, usafiri, nk. jamani hebu kuwa na utu.
mbona petroli imepanda bei hamlalamiki?