pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,301
- 1,579
Jamani ilipoandikwa MWANAUME atakula kwa jasho lake...si ndo pia na vitu kama hivyo pia?
ndo mana huwa wanamegwa na kuachwa na watu wenye fedha zao. kafanye kazi vyuoni ndo utajua mizinga ya masista duu. basi watu wanawamega vibaya mno.