Mademu wengine bana, ili liwe funzo kwenu

Dah aiseee nimecheka sana eti asipochepuka ni mhashamu Askofu .......
 
Nimetamani nikupe 'like' nyingine lakini haiwezekani; huu Uzi wanawake wote duniani unawahusu
 
hahahah wale wa kungoja mkwaju[emoji41]
 
Hahahah aisee kwani wewe kabila gani maana huwa nikisomag thrd zako nabaki kuchek pek yang
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu umefanya siku yangu ianze vizuri.
 
wanaume hamna ata jema mtafanyiwa hivo vyote still mtu atachepuka tu madai yenu mwanaume rijali hawezi kua na demu mmoja
 
jiwe limerushwa gizani subiri watoke mimi niko pémbeni hapa mkuu.
 
wanaume hamna ata jema mtafanyiwa hivo vyote still mtu atachepuka tu madai yenu mwanaume rijali hawezi kua na demu mmoja
Mwanaume gani uliyemfanyia hayo yote na akachepuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…