Mademu wengine bana, ili liwe funzo kwenu

Mademu wengine bana, ili liwe funzo kwenu

BIKIRA WA KISUKUMA Anajua Kama Unamcopy Na Kumpaste Huku?
Fanya Hata Acknowledgement Basi Maana Unapotosha Wasiojua Wanadhani Wewe Ndiye Unayetunga Na Kuandika.
Adios!
 
Vijana bhana, mtu atatumia sababu zote duniani kujustify uzinzi wao...
Toshekeni na nyuchi za wake zenu... In yohane mbatizaji's voice.
 
Yani ikitokea nineamka vibaya(bad mood) nikiingia JF au nikichek vibonzo vya I like you bro yani all day nitakuwa na furaha 2 stress kwishnee JF you always make my day..
 
Au unakuta demu anavyoongea hivyo ndio wale kazi yao ni kuhesabu misumari juu ya paa na makenji
 
Huyo wa kwako mkuu,
Wengine hatuangalii uwajibikaji wa mwanamke, ila huwezi kula ugali na mboga moja kila siku.
Hata kama nyama ileile mabucha tofauti lkn utamu wa nyama haufanani, na hata mapishi pia hayafanani.
 
Haha acha tu kuna wanawake wakikukamata huwezi toka wanajua mahaba hasa
 
Hahaha, kama vile namuona kondoo aliyesahau mlango wa banda.
 
Back
Top Bottom