Hi wana chit chat
Leo nimekuja kueleza maoni yangu juu ya hawa wadada wenye mizogo,makalio aka misambwanda mmekuwa mkituumiza sana tukiwa sehemu mbali mbali, mara mpite mnatingisha, mara mpite mmevaa tight lainii, mara muonyeshe shanga zenu kiunoni, mara vitovu, ilimradi tu mtuumize sisi vijana mashababi.
Karibuni tujadili wadada na wanaume wenzangu, tulijadili hili
Kwa muktadha wa kiChit Chat, tueleze changamoto unazokumbana nazo ukiona mzigo murua.