Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rekebisha heading......hakuna mademu humu kuna wasichana na wanawake wenye heshima zao.........ukitaka mademu nenda Ambiance au Meeda...........
hahahaha kijana anatafuta wa kugegeda huyo. eti aende ambiance. kijana mwenyewe wa kijijini anapajua kweli ambiance
alafu wewe wacha kumtisha kijana wa watu bwana hapa jf mbona mademu wapo kibao tuu
wewe umewaona hao madem.........? ni kina nani......?
Umenena akishindwa hizo sehemu ulizotaja mwisho wa tatizo lake ni KIMBOKA BUGURUNI CHAMA.wala hapotei wapo wa kumwaga yeye tu.Rekebisha heading......hakuna mademu humu kuna wasichana na wanawake wenye heshima zao.........ukitaka mademu nenda Ambiance au Meeda...........