comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Madenge au makonda?
Spika Job Ndugai amesema Bungeni leo Juni 25, 2019 kuwa:
Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi. Hakumtaja jina
Madenge kwasasa anaofisi ilala bomaMtaa ule wa wagagagigigogoko lol mtaa ule Yupo Zena na Betina lol
Madenge saivi Kakua na mjeuri kama zamani Ana ofisi katika Boma