comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Ohooooo kama kawaida ni comrade hapa, a.k.a THE HUNTER! nadundadunda jukwaani hapa kama jabulani au kitenesi..
I use my keyboard to refresh my mind!
Ohoooo ebanaeee Leo ninekutana na swali la kijinga huko mtaani..
Kuna mshamba mmoja huko mtaani katoka mkoani eti ameniuliza madenge hapa dar anaishi maeneo gani
Ingekua wewe ungemjibuje?!