Tetesi: Madeni ya Mishahara kulipwa mwezi ujao

..alafu utasikia wanajinadi eti watajenga uchumi wa viwanda!..my foot...uchumi wa viwanda wakati nguvu kazi yenyewe kwenye utumishi wa umma mmekalia stahiki zao..hivyo viwanda labda matumbo yao....so sad yani...
Pia hakuna hata vyama vya fanyakazi zaidi ya matawi ya CCM.
 
Rais JPM kwenye masuala ya Utumishi na stahiki za watumishi wa Umma ni Zero tena Zero iliyokua Bold....Yani kashindwa kweupee na hajui ni wapi alipokosea ngoja ni mkumbushe kidogo....Mwenzako KIKWETE haku deal na annual increments kwan hazina tija yoyote kwenye mishahara ya watumishi na wengi wameishia kupata 9,000 wengine 7,000 baada ya makato sasa hii so nikilo moja tu ya nyama? Apo JPM umeshindwa vibaya sana Kikwete yeye alikua anaongeza kwa % yan asilimia utakua mwaka huu anaongeza 20% hii ilikua na tija sana kwan MTU alikua anapata angalau Robo ya mshahara wake kuliko 7,000 what is 7000 kama sio upuuzi tu! Kwenye Madaraja au Promotions, Kikwete kwakweli hakuweka Deni itokee tu Halmashauri fulan Afisa utumishi awe Kilaza ndo watu wake watachelewa kupata Yani madaraja kila Mwaka yalipanda ila tokea aingie Huyu tokea 2016 walipanda labda 20% tu wengine hakuna, 2017 ndo ata Barua hawajapewa Leo ni 2018 Yani kashaweka Deni ambalo linaelekea kumshinda....Awamu hii ifahamu unaweza husiongeze mishahara lakini Daraja la Mtumishi ata uwe mchawi vipi lazima lipande na sio Hisani ya kuombwa! Sasa imagine 2016,2017 na sasa March 2018 wanatakiwa wa mwaka huu wapande hivi utajichekesha vipi kwa kuvuruga stahiki za watumishi kwa kiwango hiki....Nini cha Kufanya AWAMU HII ikubari kua fedha nyingi zinapotea kwenye Usenge wa ELIMU BURE AU BILA MALIPO Yani serikali itoe 23.7 Billion kila Mwezi ivi hii ni akili au matope! Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye Huduma za maji vijijini Yani maji safi na salama! Kwan hizo Fedha zisiende kwenye kujenga madarasa ya kisasa yanayoendana na Karne hii! Kwann hizo 23.7B zisilipe madai ya watumishi na kuboresha mishahara yao! Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye kuajiri madaktari wapya na mahakimu? Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye kujenga Barabara za Lami kwenye Mitaa! Kwann Hizo 23.7B zisinunue Matrekta wakaenda kulima mapori mengi tu tukapunguza inflation kwenye misosi? Yani km Nchi ya Dunia ya Tatu tuna mambo mengi ya kufanya ambayo hatupaswi kusubiri shirika la USaid au Jaica kuja kutufanyia.....23.7 ×12=284.4Billion hivi hizi pesa zikitengewa maji vijijini nadhan tutakua tumekomboa wananchi wetu....Serikali iache sifa za kijinga Elimu Bure inadhohifisha ustawi wa nchi kwa cheap popularity tu....Yani mpaka Leo watanzania wanaotumia umeme ni only 33% then bado tunatoa Elimu bure...Alie turoga alizikwa Angani
 
Umetoa yote ya moyoni au kuna mengine umeyaweka akiba mkuu?

Elimu bila malipo licha ya kuwa na changamoto nyingi lakini kwa kiasi imesaidia shule kujiendesha.

Changamoto za elimu bila malipo ni nyingi mashuleni. Jamii ipewe elimu
 
....exactly.... Kutoa elimu bure wakati unashindwa kulipa stahiki za watumishi wako...wakiwemo waalimu ni ujuha Mkubwa....maana hata hivyo viwango vya elimu vitapanda vipi wakati wahusika wameelemewa na ugumu wa maisha vile stahiki zao hazilipwi!!...hivi we ni nchi ombaomba unawezaje kutamba kwa kutoa elimu bure wakati sekta nyingine zime collupse???....alishindwa nyerere kwenye enzi ya ujamaa mtaweza nyie mnaoshindwa hata kudhibiti wizi wa pesa za umma!!...utawala wa kiki huu wameshashindwa...kabla hawajaanza....maana hata hivyo viwanda vinategemea sekta binafsi amabayo tayari imeshaumizwa vya kutosha...

Rais JPM kwenye masuala ya Utumishi na stahiki za watumishi wa Umma ni Zero tena Zero iliyokua Bold....Yani kashindwa kweupee na hajui ni wapi alipokosea ngoja ni mkumbushe kidogo....Mwenzako KIKWETE haku deal na annual increments kwan hazina tija yoyote kwenye mishahara ya watumishi na wengi wameishia kupata 9,000 wengine 7,000 baada ya makato sasa hii so nikilo moja tu ya nyama? Apo JPM umeshindwa vibaya sana Kikwete yeye alikua anaongeza kwa % yan asilimia utakua mwaka huu anaongeza 20% hii ilikua na tija sana kwan MTU alikua anapata angalau Robo ya mshahara wake kuliko 7,000 what is 7000 kama sio upuuzi tu! Kwenye Madaraja au Promotions, Kikwete kwakweli hakuweka Deni itokee tu Halmashauri fulan Afisa utumishi awe Kilaza ndo watu wake watachelewa kupata Yani madaraja kila Mwaka yalipanda ila tokea aingie Huyu tokea 2016 walipanda labda 20% tu wengine hakuna, 2017 ndo ata Barua hawajapewa Leo ni 2018 Yani kashaweka Deni ambalo linaelekea kumshinda....Awamu hii ifahamu unaweza husiongeze mishahara lakini Daraja la Mtumishi ata uwe mchawi vipi lazima lipande na sio Hisani ya kuombwa! Sasa imagine 2016,2017 na sasa March 2018 wanatakiwa wa mwaka huu wapande hivi utajichekesha vipi kwa kuvuruga stahiki za watumishi kwa kiwango hiki....Nini cha Kufanya AWAMU HII ikubari kua fedha nyingi zinapotea kwenye Usenge wa ELIMU BURE AU BILA MALIPO Yani serikali itoe 23.7 Billion kila Mwezi ivi hii ni akili au matope! Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye Huduma za maji vijijini Yani maji safi na salama! Kwan hizo Fedha zisiende kwenye kujenga madarasa ya kisasa yanayoendana na Karne hii! Kwann hizo 23.7B zisilipe madai ya watumishi na kuboresha mishahara yao! Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye kuajiri madaktari wapya na mahakimu? Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye kujenga Barabara za Lami kwenye Mitaa! Kwann Hizo 23.7B zisinunue Matrekta wakaenda kulima mapori mengi tu tukapunguza inflation kwenye misosi? Yani km Nchi ya Dunia ya Tatu tuna mambo mengi ya kufanya ambayo hatupaswi kusubiri shirika la USaid au Jaica kuja kutufanyia.....23.7 ×12=284.4Billion hivi hizi pesa zikitengewa maji vijijini nadhan tutakua tumekomboa wananchi wetu....Serikali iache sifa za kijinga Elimu Bure inadhohifisha ustawi wa nchi kwa cheap popularity tu....Yani mpaka Leo watanzania wanaotumia umeme ni only 33% then bado tunatoa Elimu bure...Alie turoga alizikwa Angani
 
Rais JPM kwenye masuala ya Utumishi na stahiki za watumishi wa Umma ni Zero tena Zero iliyokua Bold....Yani kashindwa kweupee na hajui ni wapi alipokosea ngoja ni mkumbushe kidogo....Mwenzako KIKWETE haku deal na annual increments kwan hazina tija yoyote kwenye mishahara ya watumishi na wengi wameishia kupata 9,000 wengine 7,000 baada ya makato sasa hii so nikilo moja tu ya nyama? Apo JPM umeshindwa vibaya sana Kikwete yeye alikua anaongeza kwa % yan asilimia utakua mwaka huu anaongeza 20% hii ilikua na tija sana kwan MTU alikua anapata angalau Robo ya mshahara wake kuliko 7,000 what is 7000 kama sio upuuzi tu! Kwenye Madaraja au Promotions, Kikwete kwakweli hakuweka Deni itokee tu Halmashauri fulan Afisa utumishi awe Kilaza ndo watu wake watachelewa kupata Yani madaraja kila Mwaka yalipanda ila tokea aingie Huyu tokea 2016 walipanda labda 20% tu wengine hakuna, 2017 ndo ata Barua hawajapewa Leo ni 2018 Yani kashaweka Deni ambalo linaelekea kumshinda....Awamu hii ifahamu unaweza husiongeze mishahara lakini Daraja la Mtumishi ata uwe mchawi vipi lazima lipande na sio Hisani ya kuombwa! Sasa imagine 2016,2017 na sasa March 2018 wanatakiwa wa mwaka huu wapande hivi utajichekesha vipi kwa kuvuruga stahiki za watumishi kwa kiwango hiki....Nini cha Kufanya AWAMU HII ikubari kua fedha nyingi zinapotea kwenye Usenge wa ELIMU BURE AU BILA MALIPO Yani serikali itoe 23.7 Billion kila Mwezi ivi hii ni akili au matope! Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye Huduma za maji vijijini Yani maji safi na salama! Kwan hizo Fedha zisiende kwenye kujenga madarasa ya kisasa yanayoendana na Karne hii! Kwann hizo 23.7B zisilipe madai ya watumishi na kuboresha mishahara yao! Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye kuajiri madaktari wapya na mahakimu? Kwann hizo 23.7B zisiende kwenye kujenga Barabara za Lami kwenye Mitaa! Kwann Hizo 23.7B zisinunue Matrekta wakaenda kulima mapori mengi tu tukapunguza inflation kwenye misosi? Yani km Nchi ya Dunia ya Tatu tuna mambo mengi ya kufanya ambayo hatupaswi kusubiri shirika la USaid au Jaica kuja kutufanyia.....23.7 ×12=284.4Billion hivi hizi pesa zikitengewa maji vijijini nadhan tutakua tumekomboa wananchi wetu....Serikali iache sifa za kijinga Elimu Bure inadhohifisha ustawi wa nchi kwa cheap popularity tu....Yani mpaka Leo watanzania wanaotumia umeme ni only 33% then bado tunatoa Elimu bure...Alie turoga alizikwa Angani
Yachane yanapenda kiki za kijinga!
 
Tarehe 15 january ilikua mwisho wa kupeleka taarifa ya madeni baada ya uhakiki na ninavyojua kua kabla ya June watakua wamelipa tena madeni ambayo sio ya mshahara.
 
Back
Top Bottom