Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 476
MFuko wa Afya ya Taifa BIMA(NHIF) Umekuwa ni mfuko wenye wateja wengi ,ulianzishwa kwa lengo zuri la kuhudumia wanachama wao kupata huduma ya afya katika ngazi zote za Hospitali, Mfuko huu wa Bima umekuwa ukidawai na Hospital kwa takribani Miezi 6 Bila kuzilipa,Huku Hizo hospitali zikiwahudumia wanachama wao bila Malipa, Hospitali zimefika sehemu zinadiwa kwa kukosa vifaaa tiba na
Madawa kutokana na kukoswa pesa za kujiendesha, kwa kuwa zinahudumia wanachama kwa kukopa zaidi ya miezi 6, Hospitali moja
Kama MNH inaida 30bill , Huku hospitali zingine zikiendelea kulia kilio cha mbwa koko bila Msaada,Serikali imekuwa kimya juu ya kutatua hili swala Mkataba wao unasema ndani ya siku 60 ,hospitali iwe imeshalipwa.
Wananchi wengi wajitokeza kujiunga na huu Mfuko,lakini wanapofika kupata huduma, wanaishiwa kupewa dawa ambazo haziwasaidii kwa kuwa hospitali hazina uwezo wa kununua dawa ,
Tunakoelekea serikali naishauri
1) Ifumue uongozi wa Bima kwa chelewesha claim za Za Madeni
2) Wananchi wengi mpaka sasa wa Bima za afya, na tunakoelekea wengi 70% watakuwa na Bima, Hapa ndio afya inaenda kufa, ikitaka wainusuru wahakikishe claim zinalipwa mapema
3)Kuwepo na Taasisi itayoweza kusimamia Mifuko ya Bima ikiwemo mifuko Mingine
3) Waruhusu Hata Mifuko Mitatu ya Bima atleast kuwepo na competition
4)Kama Serikali ndio Msimamizi Mkuu Basi tuendako ajiandae kulaumiwa kwa kushindwa kusimamia
5)Claim za Malipo zilipwe mapema ndani ya mkataba