jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kama huelewi unatafuta nini ndio utakuwa na tabia kama zako.mimi sio mtu wa matukio ni mtu wa hojaKama hujui just Shut up !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huelewi unatafuta nini ndio utakuwa na tabia kama zako.mimi sio mtu wa matukio ni mtu wa hojaKama hujui just Shut up !
jinga laohuna evidence ya hilo acha kuropoka.Hamjui mnachotaka waache CCM wawaletee mambo mazuri ninyi ni wasindikizaji tu
Na mtu mjinga au kwa kingoni Stupid personmwaka 2015 swali pekee katika mdahalo wa wagombea lililohusu afya kutoka mitandaoni liliulizwa nami.
swali hilo lilihusu bima ya afya kwa wote.
Muwage mnatumia akili sio kuropoka tu. 10% unaifahamu ww??Kingine national makato ya 3% ni madogo sana yamepitwa na wakati waweke japo 10% mfuko utaweza kuhandle pressure za wanachama wake
MFuko wa Afya ya Taifa BIMA(NHIF) Umekuwa ni mfuko wenye wateja wengi ,ulianzishwa kwa lengo zuri la kuhudumia wanachama wao kupata huduma ya afya katika ngazi zote za Hospitali, Mfuko huu wa Bima umekuwa ukidawai na Hospital kwa takribani Miezi 6 Bila kuzilipa,Huku Hizo hospitali zikiwahudumia wanachama wao bila Malipa, Hospitali zimefika sehemu zinadiwa kwa kukosa vifaaa tiba na
Madawa kutokana na kukoswa pesa za kujiendesha, kwa kuwa zinahudumia wanachama kwa kukopa zaidi ya miezi 6, Hospitali moja
Kama MNH inaida 30bill , Huku hospitali zingine zikiendelea kulia kilio cha mbwa koko bila Msaada,Serikali imekuwa kimya juu ya kutatua hili swala Mkataba wao unasema ndani ya siku 60 ,hospitali iwe imeshalipwa.
Wananchi wengi wajitokeza kujiunga na huu Mfuko,lakini wanapofika kupata huduma, wanaishiwa kupewa dawa ambazo haziwasaidii kwa kuwa hospitali hazina uwezo wa kununua dawa ,
Tunakoelekea serikali naishauri
1) Ifumue uongozi wa Bima kwa chelewesha claim za Za Madeni
2) Wananchi wengi mpaka sasa wa Bima za afya, na tunakoelekea wengi 70% watakuwa na Bima, Hapa ndio afya inaenda kufa, ikitaka wainusuru wahakikishe claim zinalipwa mapema
3)Kuwepo na Taasisi itayoweza kusimamia Mifuko ya Bima ikiwemo mifuko Mingine
3) Waruhusu Hata Mifuko Mitatu ya Bima atleast kuwepo na competition
4)Kama Serikali ndio Msimamizi Mkuu Basi tuendako ajiandae kulaumiwa kwa kushindwa kusimamia
5)Claim za Malipo zilipwe mapema ndani ya mkataba
Cc Moderator Maxence Melo pandisheni majibuTafadhali rejea taarifa kwa Umma. Ili kupata taarifa sahihi za NHIF tafadhali hakikisha unafuata kurasa zetu NHIFTZ au tupigie simu 0800 110063.View attachment 1833260
Kanikera sanaMuwage mnatumia akili sio kuropoka tu. 10% unaifahamu ww??