Madeni ya NHIF yasababisha hospitali nyingi kulemewa katika kutoa huduma

mwaka 2015 swali pekee katika mdahalo wa wagombea lililohusu afya kutoka mitandaoni liliulizwa nami.
swali hilo lilihusu bima ya afya kwa wote.
Na mtu mjinga au kwa kingoni Stupid person
 
Tafadhali rejea taarifa kwa Umma. Ili kupata taarifa sahihi za NHIF tafadhali hakikisha unafuata kurasa zetu NHIFTZ au tupigie simu 0800 110063.
 
Kingine national makato ya 3% ni madogo sana yamepitwa na wakati waweke japo 10% mfuko utaweza kuhandle pressure za wanachama wake
Muwage mnatumia akili sio kuropoka tu. 10% unaifahamu ww??
 
Wanakata hela nyingi kwa mini hawalipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…