Madeni ya TALA na Branch

Mimi branch huwa wananipush sana nkiwa na emegence za hapa na pale mpk nw ninauwezo wa kukopa hadi kilo 4,ofcoz huwa nawalipa kwa wakati maana sioni sababu ya kuwadhurumu kwa kutokuwalipa ilihali fedha zao huwa nikiomba tu dk haiishi mzgo unaingia so sionagi inshu ya kutowalipa na ukizingatia kwa mfano laki 3 ukikopa unawalipa kwa miez mitatu kdg kdg,kwa maisha yalivyo taiti kibongo bongo utamkopa nani hela yafasta fasta afu uje umlipe kdg kdgo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa taratibu zao zipoje na mimi niombe mzigo.
 
alipe tu maana huko mbeleni tena muda si mrefu atakuwa akopesheki ata kwenye mabenk au saccos.
 
lipeni madeni vijana haina haja ya kuanza kufikishana mahakamani
 
Pengine hutofanywa chochote,.lakini dawa ya deni ni kulipa...tuwafanyie tuu hao kina TALA na branch lakini sisi kwa sisi tukikopana tuwe tunarudishiana kudumisha uaminifu na upendo zaidi😊
 
TALA na BRANCH wasumbufu sana kwenye kudai ,mi nimekopa tangu mwaka Jana ila kila siku wananipigia simu kunidai na msg za mikwara mi sitishiki hakuna aliefungwa kwa ajili ya deni,serikali inanidai M 16.7 za mkopo sembuse nyie TALA elfu 52 na BRANCH elfu 11 ,nlikopa nikalia bata.ACHENI USUMBUFU[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasikutishe hawa jamaa mi natumiwa hizi kila siku,juzi nikapigiwa na mdada wa branch anapanic nikamwambia Dada usinitishe na hako kahela kenu mkashtaki basi, kama sijapata hela ya kuwalipa mnataka nikaibe!? Tulibishana sana mwisho kakata simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah we jamaa aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, ukikopa laki tatu unarudisha shilingi ngapi? Je kwa kuanza unaanza na shilingi ngapi? asante
Kwa kuanza unaletewa option nadhani 3 kati ya elfu 5,10 au 20 uchague na hizo unalipa kwa wiki ila kwa laki 3 ukikopa unarudisha laki 3 na nusu so kila.mwez unalipa laki na kumi na hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii mikopo yao inakatiwa bima kabisa ukishindwa kulipa wanaliowa na bima. Ila mawakala wanao wakikuotea ndo hivyo tena. Ila wana kuripoti kwenye taa sisi zote zinazo husiana na mambo ya fedha, kwamba wewe ni mdaiwa sugu kwahiyo huta weza kukopa popote tena.
LIPA MADENI NDUGU HUO SIYO UJANJA.UNAJUA MAANA YA ALAMA HII!?[emoji117] [emoji614]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…