Mzee usafiri binafsi mbona kawaida saana kukosaMarehemu alikuwa hana usafiri binafsi? R.I.P !
Mambo ya ubabe tupa kule......I like ua dp...Ubabe nao sio ishu, unapigiwa kelele za mwizi tu raia wanakumaliza
Kazikwa kikristo pia acha hilo la pombe.Kuna bandiko humu marehem alibadili dini kuwa muislam ss unaposema alikua amelewa sijakuewa. Vizuri
na amepanga chumba kimoja tu.Mabondia wote wanaishi maisha ya kuunga unga
Mchumiatumbo ambae ndo heavyweight champion wa Tz anabeba lumbesa soko la Tandika hadi leo
Cheka si alikuwaga kichaa pale Morogoro wa kuokota makopo? Alishaacha?Nadhani huwa hawajipangi, pia wengi wengi wao wanaendekeza usela sana, mpaka yale malengo yao yanapotea bila wao kujua!
Mtakatifu Ivuga, bodaboda wanatuwakilisha jinsi Watanzania tulivyo; kwani wale wanakijiji wa Iringa-Mvumi walioua wale watafiti udongo wa Selian Agricultural Reseach nao ni bodaboda?Boda boda akili zao wanazijua wenyewe,
Case zao nyingi wanajichukulia sheria mkononi. Sasa hapo utakuta wote wameshahama kijiwe.