Madereva boda boda ndo wame muua Mashali...

Madereva boda boda ndo wame muua Mashali...

Mabondia wa kibongo bana, wanadhani ukishakua bondia basi unaweza kupiga tu mtu yeyote, popote na usifanywe chochote na yeyote.

Cheka alishashtakiwa kwa kumpiga mtu pia.

Mabondia mjifunze kupitia Mashali.
 
Nadhani huwa hawajipangi, pia wengi wengi wao wanaendekeza usela sana, mpaka yale malengo yao yanapotea bila wao kujua!
Cheka si alikuwaga kichaa pale Morogoro wa kuokota makopo? Alishaacha?
 
Boda boda akili zao wanazijua wenyewe,
Case zao nyingi wanajichukulia sheria mkononi. Sasa hapo utakuta wote wameshahama kijiwe.
Mtakatifu Ivuga, bodaboda wanatuwakilisha jinsi Watanzania tulivyo; kwani wale wanakijiji wa Iringa-Mvumi walioua wale watafiti udongo wa Selian Agricultural Reseach nao ni bodaboda?

Watanzania wengi wana matatizo ya akili na deprecion, mtu akitaka kukuuwa kirahisi ni kukupigia kelele za mwizi, Watanzania watakuua tu hata bila kuhoji umeiba nini.

Vv
 
Back
Top Bottom