Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kwani maandamano yaliyopita walishiriki?. Hii show watuachie wakazi tunaoishi majiji ya Dar, Mwanza, Mbeya,Dodoma na Arusha, na pia mikoa ya Geita, Mara, Shinyanga, Songwe tutaikamilisha hao bodaboda wa huko wakacheze baikoko hatuwaitaji.CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9.
Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Bodaboda, Tanga Mohamed Chande amesema kuwa iwapo madereva hao watabainika kushiriki hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Amesema kuwa iwapo mwanachama wao yoyote atashiriki kwenye tukio hilo atakuwa amejivua uwanachama hataruhusiwa kushiriki kwenye shughuli za biashara hiyo sambamba na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
“Nipende kuwaasa madereva wa bodaboda mkoani hapa tusikubali kushawishiwa kwa fedha au ulaghai na kushiriki kwenye kuvunja amani ya nchi yetu,kwani sisi tunajukumu la kulinda na kutunza amani kwa ustawi wa taifa letu,” amesema Chande
Morogoro waondoe kwenye hiyo list mbuzi hao hawana lolote.Kwani maandamano yaliyopita walishiriki?. Hii show watuachie wakazi tunaoishi majiji ya Dar, Mwanza, Mbeya,Dodoma na Arusha, na pia mikoa ya Geita, Mara, Shinyanga, Songwe na Morogoro tutaikamilisha hao bodaboda wa huko wakacheze baikoko hatuwaitaji.
Kwanza majiji mengine kama Mwanza huwezi kuvaa nguo yenye picha ya Samia yani wanaogopa mno nashangaa Tanga.Kuna mikoa ukisikia wametoa matamko hata hustuki tanga watu wanaandamano wao wapo bize kupigana pumbu ***** zao.
Nilikuwa sijaiona hiyo picha ya Samia kifuani kwake.Kavaa kabisa picha ya Samuya. Si ungeeficha walau kidogo hili uaminike 😆😆
Masimp na mapunga yamejazana huko. Wanaume wamelegea halafu wanarembua hatari. Ndiyo waandamane kweli? Sidhani!Sasa mkoa wenyewe night club dj anapiga taarabu na miwanaume kabisa inakata viuno huku kidole kimoja kipo hewani. Hivi unategemea kuna atakaeandama hapo
Mkoa wa ubwabwaCHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9.