😂😂😂😂 hawa jamaaCHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9.
Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Bodaboda, Tanga Mohamed Chande amesema kuwa iwapo madereva hao watabainika kushiriki hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Amesema kuwa iwapo mwanachama wao yoyote atashiriki kwenye tukio hilo atakuwa amejivua uwanachama hataruhusiwa kushiriki kwenye shughuli za biashara hiyo sambamba na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
“Nipende kuwaasa madereva wa bodaboda mkoani hapa tusikubali kushawishiwa kwa fedha au ulaghai na kushiriki kwenye kuvunja amani ya nchi yetu,kwani sisi tunajukumu la kulinda na kutunza amani kwa ustawi wa taifa letu,” amesema Chande
Kaharibu kuvaa picha ya Bi Urojo, hapo dhahiri inaonyesha analeta uchama kwenye mambo serious ya kitaifa. Ndiyo shida ya chawa kupewa mamlaka, kaamua kukandamiza haki za bodaboda aliopewa jukumu la kuwaongoza. Bora wampige chini wachague kiongozi mwingine.CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9.
Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Bodaboda, Tanga Mohamed Chande amesema kuwa iwapo madereva hao watabainika kushiriki hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Amesema kuwa iwapo mwanachama wao yoyote atashiriki kwenye tukio hilo atakuwa amejivua uwanachama hataruhusiwa kushiriki kwenye shughuli za biashara hiyo sambamba na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
“Nipende kuwaasa madereva wa bodaboda mkoani hapa tusikubali kushawishiwa kwa fedha au ulaghai na kushiriki kwenye kuvunja amani ya nchi yetu,kwani sisi tunajukumu la kulinda na kutunza amani kwa ustawi wa taifa letu,” amesema Chande
Hizi mbinu za kijinga ndo zilishindwa mo29CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9.