PostGE2025 Madereva Bodaboda na Bajaji Tanga yapiga Marufuku Wanachama Kushiriki Maandamano ya Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wapuuzi hao,hizo boda ndio zitkua kuni siku hio
 
😂😂😂😂 hawa jamaa
 
Kaharibu kuvaa picha ya Bi Urojo, hapo dhahiri inaonyesha analeta uchama kwenye mambo serious ya kitaifa. Ndiyo shida ya chawa kupewa mamlaka, kaamua kukandamiza haki za bodaboda aliopewa jukumu la kuwaongoza. Bora wampige chini wachague kiongozi mwingine.
 
Hizi mbinu za kijinga ndo zilishindwa mo29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…