Maafisa usafiri almaarufu madereva wa bodaboda mtandaoni walia kuwa uwanja wa Kimataifa wa Ndege jijini Dar es Salaam una eneo kubwa hivyo nao waruhusiwe kuingia.
View: https://m.youtube.com/watch?v=3H3igt7-owI
Bodaboda wasema kama teksi maalum zinaruhusiwa kuingia, kwanini wao bodaboda wabaguliwe.
Madereva hao wa bodaboda wametaka serikali isikie kilio chao ili nao waweze kuendesha maisha kwa kutengewa eneo maalum ndani ya Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere International Airport JNIA.
Uwanja wa JNAI umekuwa na shughuli nyingi mbali na abiria wa ndege, lakini mashabiki wa mpira hujitokeza kwa mamia kupokea timu zao za mitaa ya Jangwani na Msimbazi iliyopo Kariakoo jijini Dar es Salaam .
Pia mapokezi ya ndege mpya za serikali mamia ya watu hualikwa kwenda kushuhudia ndege mpya za shirika la ndege la ATCL zikiwasili kwa mara ya kwanza...