The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Madereva wa taksi za mtandaoni za kampuni ya Bolt wameandamana leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni.
Madereva hao wanapinga makato ambayo kampuni hiyo inawakata katika kila safari, ambapo wanaeleza ni asilimia 25, huku wakieleza kuwa agizo la LATRA ni makato yawe asilimia 15.
Polisi walifanya jitihada kuwahamisha waandamanaji hao kuelekea katika viwanja vya Polisi Oysterbay ambapo mazungumzo na uongozi wa kampuni hiyo yatafanyika.
The Chanzo