No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Uzi huu uwe maalum kwa madereva na wasafiri kujua hali ya barabara ni haki yenu kabla ya kuanza safari ya huko uendako.Tupashane yanayojiri ili tuweze kusaidia safari zetu. Unatarajia kuelekea wapi saa hizi, unahitaji kujua hali ya barabara kama labda kuna changamoto yeyote saa hizi ili kuepusha yale yaliyo ndani ya uwezo wetu. Mimi saa hizi najiandaa kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.