Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Naombeni msaada hii alama imenichanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ngoja hawa wakali waje:Naombeni msaada hii alama imenichanganya View attachment 2487929
Alama hiyo ipo Coco beach baharini.Naombeni msaada hii alama imenichanganya View attachment 2487929
Ni kwa vile tu wewe ni mjinga flani, ndio maana unaweza kutoa mawazo haya.Nadhani ni ile ya chadema iliyofanyiwa maboresho
[emoji1536] hizi mbili zimegeukiana na mstari katikati
Kuna Lodge nzuri mbele hapo ila ipo kichakani🤣
Endesha kwa tahadhari kuna gest bubu eneo hili
Kelsea yupo kwenye nafasi nzuri ya kijibu
Hata sijui inamaanisha nini.