Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

YBWYB!
1790685452638.png

NO MENENTI MENTE!
 
Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua.

Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
Alijitangaza akiwa kambi ya jwtz ngerengere yeye na mwaandani wake jakaya. Wakati huo muliro akiwa analala kwenye vitanda vya wagonjwa pale lugalo jwtz . Usicheze na nguvu ya umma hata kidogo
 
Go, Mama Samia, goooo! Minyumbu inazidi kuchanganyikiwa Huku......haijielewi ishike lipi, Wala iseme lipi. Imebaki kubwabwaja tu Kila wakati kama mishostito
 
Alijitangaza akiwa kambi ya jwtz ngerengere yeye na mwaandani wake jakaya. Wakati huo muliro akiwa analala kwenye vitanda vya wagonjwa pale lugalo jwtz . Usicheze na nguvu ya umma hata kidogo
Hiyo inaitwa chupuchupu
 
Back
Top Bottom